WEZA Lyrics

WEZA Lyrics

Anytime gucci Anytime gucci Imeweza Acha ni flex kwanza vile ninakaa Nilipewa makalio za kukaa poa ah, yeah Alafu nina vibes hii masaa, kila kitu Nikifanya nafanya vile inafaa Vijana wakiniona, wanatoka mbio Msupa anarock gold kwa kitovu naskia Back since back then au sio I’m that girl walidhani mimi sio Drip huwa safi imeweza, msupa Anakujanga amependeza, cheki melanin Top imeweza Alafu bado hujataste ata flavour Flavour ka ya nini pweza, imewaah Weza Flavour ka ya nini pweza, imewaah Weza Munga Rog tumewekelea kazi Dandora tumewekelea kazi Rog tumewekelea kazi Umoinner tumewekelea kazi Koch 58 tumewekelea kazi Huruma tumewekelea kazi Rog tumewekelea kazi Umoinner tumewekelea kazi Kama denge huchoma vela Chorea chorea Kama fala ni mteja, chorea chorea Unadai kubai keja, ganji kwa begega na Bet haijaweza, chorea chorea Mimi ndo bado wanaongelea Nashikilia ganji alafu chomelea Wasupa mtaani wananihemea Broke people wananilemea Drip huwa safi imeweza, msupa Anakujanga amependeza, cheki melanin Top imeweza Alafu bado hujataste ata flavour Flavour ka ya nini pweza, imewaah Weza Flavour ka ya nini pweza, imewaah Weza Rog tumewekelea kazi Dandora tumewekelea kazi Rog tumewekelea kazi Umoinner tumewekelea kazi Koch 58 tumewekelea kazi Huruma tumewekelea kazi Rog tumewekelea kazi Umoinner tumewekelea kazi Usicheze mbali, cheza karibu na si Bet imeweza hapana wasi wasi Lifestyle si unajua tu hapa ni ya the a- Team Ni kuwin win win repeat 5 star rating bet iko nditni Lifestyle si unajua hapa tu ni ya the a- Team Ni kuwin win win repeat Ni kuwin win win repeat Drip huwa safi imeweza, msupa Anakujanga amependeza, cheki melanin Top imeweza Alafu bado hujataste ata flavour Flavour ka ya nini pweza, imewaah Weza Flavour ka ya nini pweza, imewaah Weza Rog tumewekelea kazi Dandora tumewekelea kazi Rog tumewekelea kazi Umoinner tumewekelea kazi Koch 58 tumewekelea kazi Huruma tumewekelea kazi Rog tumewekelea kazi Umoinner tumewekelea kazi. WEZA lyrics – Ssaru : Get lyrics and music video of this song here on LyricsBull.com

0
Like
Save

Comments

Write a comment

*