![Turudiane Lyrics – Jay Melody Turudiane Lyrics – Jay Melody](https://tangotalk.de/wp-content/uploads/2025/02/turudiane-lyrics-jay-melody-1-310x168.jpg)
Onaa naaa nana nanaaaah Anaitwaje uyo jay Jay once again Nilikukosea naomba unisamehe Nishajionea kwamba sina lolote Bila wewe siwezi endelea Naomba tuendelee Yalikua matamu mapenzi yetu Yalikua super aaah Ex dua gani uliyoisoma ah Kama ndo chamoto nimekiona Aku siwezi Kujifanya niko sawa kumbe inachoma Inaumiza Nimeshindwa kukaza Mwanzako natakaa Turudiane Mwenzio nataka Turudiane Mwenzako nataka aah Turudiane Mwenzio nataka Turudiane Once again Saa sita saa saba usiku Nitakupigia nna kitu Nawe pokea japo tu Nikuongeleshe kakitu Huku nje kila mtu wa mtu Nishakua single masiku Basi nielewe kiduchu Tumalize hili beaf Ex dua gani uliyoisoma ah Kama ndo chamoto nimekiona Aku siwezi Kujifanya niko sawa kumbe inachoma Inaumiza Nimeshindwa kukaza Mwanzako natakaa Nimeshindwa Ku move on Nimeshindwa Ku move on Hata siwezi Ku move on Wanawezaje Ku move on. Turudiane lyrics – Jay Melody : Get lyrics and music video of this beautiful song here on LyricsBull.com
Comments